info@sautikwaya.co.tz Kuimarisha Kwaya Zetu, Kuendeleza Ibada Yetu

Kuhusu Sauti Kwaya

Karibu Sauti Kwaya.

Sauti Kwaya ni jukwaa la kidijitali linalounganisha utume wa uimbaji, maudhui ya Kikristo, elimu ya muziki na huduma za kiroho katika sehemu moja.

Dhamira Yetu

Kuhimiza na kuendeleza utume wa uimbaji kupitia maudhui bora, elimu ya muziki na huduma za kiroho zinazojenga imani, kuleta umoja na kuimarisha kanisa.

Maono Yetu

Kuwa jukwaa linaloongoza na kuaminika katika kuunganisha waamini, kwaya na watunzi kupitia teknolojia, uimbaji na huduma za kiroho zenye athari chanya katika Kanisa.

Huduma za Sauti Kwaya

01

Muziki na maudhui ya sauti

Sauti Video

Video za uimbaji, mafunzo na maudhui ya Kikristo.

Reels

Vipande vifupi vya uimbaji na ujumbe wa imani.

Sauti Audio

Nyimbo, tafakari na maudhui ya sauti ya kiroho.

Sauti Nota Plus

Noti, miongozo ya uimbaji na nyenzo za kujifunza.

Sauti Find

Tafuta nyimbo, watunzi, kwaya na maudhui kwa urahisi.

02

Sala, Biblia na tafakari

Chumba cha Sala

Mahali pa kuomba, kutafakari na kushirikiana katika sala.

Sauti Kwaya Bible Stories

Hadithi za Biblia katika mtindo rahisi na wa kuvutia.

Masomo ya leo na Shajara

Neno la leo, tafakari fupi na shajara ya kiroho.

03

Jamii na ushirikiano

Sauti Chat

Jukwaa la mazungumzo, ushirikiano na kubadilishana mawazo ya kiroho.

Sauti Shops

Duka la bidhaa na huduma zinazohusiana na uimbaji na huduma ya Kanisa.

Live Radio

Kituo cha radio mtandaoni cha uimbaji, mafundisho na maudhui ya Kikristo.

Sauti Game

Michezo ya kielimu yenye maadili na ujumbe wa Kikristo.

04

Zana za kwaya na watunzi

Choir Operating System (COS)

Mfumo jumuishi wa kusaidia uendeshaji na usimamizi wa kwaya kwa ufanisi.

Huduma kwa watunzi na waimbaji

Msaada, rasilimali na fursa za kukuza ubunifu, vipaji na huduma ya uimbaji.

Tunawahudumia Nani?

Kwa waamini, vijana, familia, kwaya, waimbaji, watunzi na wahudumu wa Kanisa.

Rita Charity

Injili Inayoimbwa, Upendo Unaotendeka.

Tunachothamini

Imani, ushirikiano na teknolojia yenye manufaa.